DJ FranklyBoy

DJ FranklyBoy DJ,MUZIKI NA MICHEZO Utazipata apa kwenye ukurasa wako pendwa , Enjoy...

Tutayaweza Haya Jamani Vijana Wenzangu Au Tuboreshe Tu Mahaba Kwenye Ndoa Yetu Na Umasikini???
04/04/2024

Tutayaweza Haya Jamani Vijana Wenzangu Au Tuboreshe Tu Mahaba Kwenye Ndoa Yetu Na Umasikini???

✔✔✔💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥✔✔✔USIKU MWEMA💤💤💤
24/02/2024

✔✔✔💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥✔✔✔USIKU MWEMA💤💤💤

LEOOOO... CHINGA X KONDE BOY                     KAA MKAO...
22/02/2024

LEOOOO...

CHINGA X KONDE BOY

KAA MKAO...

Are you ready for new banger from...WHOZU X MARIOO..??? LEOOO... KAA TAYARI.
22/02/2024

Are you ready for new banger from...
WHOZU X MARIOO..??? LEOOO... KAA TAYARI.

16/02/2024
 Yammi kwenye ubora wake vipi hapo bado tu hajapatikana mwenye sifa alizotaja???
16/02/2024



Yammi kwenye ubora wake vipi hapo bado tu hajapatikana mwenye sifa alizotaja???

  Miwa imeliwa ila hawajatoa sukari...
16/02/2024

Miwa imeliwa ila hawajatoa sukari...

Admin Bora Kwa Mwaka Huu Ni Admin Wa Mashujaa, MASHUJAA WANATUMA SOKWE HAWANA MPANGO NA MAJINI.
13/02/2024

Admin Bora Kwa Mwaka Huu Ni Admin Wa Mashujaa,
MASHUJAA WANATUMA SOKWE HAWANA MPANGO NA MAJINI.

For the real og Djs.                 Enjoy with own machine...Call: 0750957768.
13/02/2024

For the real og Djs.
Enjoy with own machine...
Call: 0750957768.

WE ZOMBI HAUJUI...       Neno Moja Kwake.......
13/02/2024

WE ZOMBI HAUJUI...
Neno Moja Kwake.......

FEB YA MPEMBA Vs MOPAO   ............IJUMAA HII.................
13/02/2024

FEB YA MPEMBA Vs MOPAO
............IJUMAA HII.................

Song la valentine day mko tayal kulipokea wadau?..
13/02/2024

Song la valentine day mko tayal kulipokea wadau?..

Miamala Inasoma.....
13/01/2024

Miamala Inasoma.....

Hivi Macho Yako Yanaona K**a Mimi???...Hii Ndio Maana Kamili Ya Komando Lazima Uwe Na Silaha Ya Kila Aina Mpaka  .
13/01/2024

Hivi Macho Yako Yanaona K**a Mimi???...
Hii Ndio Maana Kamili Ya Komando Lazima Uwe Na Silaha Ya Kila Aina Mpaka .

Hivi Wewe Mwanaume Mla Chips Na Soda Ya Supa Komando Unajiona Wewe Ndo Komando Kipensi Kutoka Na Mke Wa Mjeda Hongera Ya...
13/01/2024

Hivi Wewe Mwanaume Mla Chips Na Soda Ya Supa Komando Unajiona Wewe Ndo Komando Kipensi Kutoka Na Mke Wa Mjeda Hongera Yako Ila Baadae Usianze Kusema "Mchuma Janga Hula Na Wakwao"...Kwa Hapo Utakula Pekee Yako....Subutuuu.....😂😂😂

Huku Ama Kule..?
13/01/2024

Huku Ama Kule..?

Bad Boy X Konde BoyMessi X Ronaldo.
12/01/2024

Bad Boy X Konde Boy

Messi X Ronaldo.

Elewa Neno MTAANI KWAKE:..
12/01/2024

Elewa Neno MTAANI KWAKE:..

Kati Ya Combo Bora Tanzania...    BAD BOY x KONDE BOY nani kaua zaidi kwenye ngoma yao mpya AWAY.
12/01/2024

Kati Ya Combo Bora Tanzania...
BAD BOY x KONDE BOY nani kaua zaidi kwenye ngoma yao mpya AWAY.

Ipi Ngoma Yako Pendwa Apo Like Tujuane
12/01/2024

Ipi Ngoma Yako Pendwa Apo Like Tujuane

Sapoti kwa kijana mafans mungu atawabariki.
12/01/2024

Sapoti kwa kijana mafans mungu atawabariki.

Ndio mama zetu wajao hao!!! Aya Sawa k**a ndio mwagilia moyo hii basi tuseme
13/07/2023

Ndio mama zetu wajao hao!!! Aya Sawa k**a ndio mwagilia moyo hii basi tuseme

Afrobeat Worldwide soon...Wizkid X R***rWizkid X RemaRema X R***r Unatamani Collabo gani hapo itokee?
13/07/2023

Afrobeat Worldwide soon...
Wizkid X R***r
Wizkid X Rema
Rema X R***r

Unatamani Collabo gani hapo itokee?

4 in 1 Kumbe Simba Nae mwoga hivi?..
13/07/2023

4 in 1
Kumbe Simba Nae mwoga hivi?..

Simba X Tessy Chocolate
13/07/2023

Simba X Tessy Chocolate

Bado naniiiii?
13/07/2023

Bado naniiiii?

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DJ FranklyBoy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DJ FranklyBoy:

Videos

Share

Category