MC Mwandete

MC Mwandete Mc |Events planner| Pharm Tech |Presenter
For Booking
0753 304 066

Kaka  happy birthday japo Nimechelewa Ila Mungu wa mbinguni azıd kuku tunza sana ! Asante kWa namna umekua zaid ya broth...
18/08/2024

Kaka happy birthday japo Nimechelewa Ila Mungu wa mbinguni azıd kuku tunza sana ! Asante kWa namna umekua zaid ya brother katika safari yetu hii ya kuwahudumia waTANZANIA as MCs 🎉happy birthday once again 🎂

Tonight Dodoma! Makao makuu ya chama na serikali shughuli zote zitasimama kupisha usiku wa Malkia wetu REGINA  are you r...
17/08/2024

Tonight Dodoma! Makao makuu ya chama na serikali shughuli zote zitasimama kupisha usiku wa Malkia wetu REGINA are you ready for the party?!

Wageni wetu waalikwa Tunawapenda sana na tunawaombea kwa Mungu awalinde sana na mzidi kubatikiwa kila siku Amen🙏💥
14/08/2024

Wageni wetu waalikwa Tunawapenda sana na tunawaombea kwa Mungu awalinde sana na mzidi kubatikiwa kila siku Amen🙏💥

Music for everyone 🎶💪
14/08/2024

Music for everyone 🎶💪

Sifa na Utukufu ni kwa Mungu aliye juu! Hakika sisi Sio wakamilifu lakini bado wateja wetu mnazidi kutupokea na kutupend...
12/08/2024

Sifa na Utukufu ni kwa Mungu aliye juu! Hakika sisi Sio wakamilifu lakini bado wateja wetu mnazidi kutupokea na kutupenda na udhaifu wetu mbarikiwe sana🙏

Mc Mwandete  075334066Karibu uweze kufanya booking nasi🙏
11/08/2024

Mc Mwandete
075334066
Karibu uweze kufanya booking nasi🙏

Kwa namna ya kipekee nawashukuru sana nyote mnaozidi kutuamini Mc Mwandete na timu yetu nzima. Mungu awabariki sana 🙏Je ...
10/08/2024

Kwa namna ya kipekee nawashukuru sana nyote mnaozidi kutuamini Mc Mwandete na timu yetu nzima. Mungu awabariki sana 🙏
Je una UNA HARUSI au SEND OFF na unahihitaji MC NA MZIKI 0753304066 KARIBU SANA

SLIDE LEFT :Kuna huyu mwamba anaangalia kwa umakini sana hivi atakua anaangalia kitu gani mbona yuko makini sana?! Let’s...
10/08/2024

SLIDE LEFT :Kuna huyu mwamba anaangalia kwa umakini sana hivi atakua anaangalia kitu gani mbona yuko makini sana?! Let’s khow here 😃

Jamani ile HARUSI YETU mnaikumbuka? Mshaisahau bhana ngoja niwakumbushe kidogo  &Genrose wedding!
07/08/2024

Jamani ile HARUSI YETU mnaikumbuka? Mshaisahau bhana ngoja niwakumbushe kidogo &Genrose wedding!

Moments!
06/08/2024

Moments!

Champagne time📍  SOTE
06/08/2024

Champagne time📍 SOTE

Pongezi nyingi kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma mama   Mungu azidi kukutunza mama katika kuendelea kuwatumikia wana Dodoma na ...
06/08/2024

Pongezi nyingi kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma mama Mungu azidi kukutunza mama katika kuendelea kuwatumikia wana Dodoma na wa Tanzania kwa ujumla!

Meet this beautiful hard working girl hakika ni baraka kubwa sana kuwa na wanawake k**a huyu kwemyr jamii zetu ..neno mo...
06/08/2024

Meet this beautiful hard working girl hakika ni baraka kubwa sana kuwa na wanawake k**a huyu kwemyr jamii zetu ..neno moja kwake please! !

Waalikwa
06/08/2024

Waalikwa

Leo natamani umwambie mama yako neno lolote ❤️
06/08/2024

Leo natamani umwambie mama yako neno lolote ❤️

Huu mshangao unahisi kuna nini kilitokea au mc alifanyaje 😀
06/08/2024

Huu mshangao unahisi kuna nini kilitokea au mc alifanyaje 😀

Familia yangu about last night     Nasra BIG DAY for sure it was lit🔥
04/08/2024

Familia yangu about last night Nasra BIG DAY for sure it was lit🔥

📍Tonight Dar es salaam inakwenda kusimama kupisha usiku wa Mr and Mrs Dr venance hakika the night is going to be lit💥  !
03/08/2024

📍Tonight Dar es salaam inakwenda kusimama kupisha usiku wa Mr and Mrs Dr venance hakika the night is going to be lit💥 !

Tonight we are sending OFF our bride to be SUHAILA! are u invited!?   Mwandete
01/08/2024

Tonight we are sending OFF our bride to be SUHAILA! are u invited!? Mwandete

1 M plays imekua ni faraja sana kwetu sisi Mc Mwandete Events. Moja ya video yetu kuweza kutazamwa na watu zaidi ya mili...
29/07/2024

1 M plays imekua ni faraja sana kwetu sisi Mc Mwandete Events. Moja ya video yetu kuweza kutazamwa na watu zaidi ya milioni moja, hakika ni upendo wa ajabu sana kutoka kwenu nyote mnao endelea kutuamini na kuendelea kutufuatilia zaid, Mungu awabariki sana! !

Je una HARUSI au SEND OFF na unahitaji Huduma ya Mc na mziki karibu sana   Mwandete  #0753304066 ASANTE I NYOTE MNAO ZID...
26/07/2024

Je una HARUSI au SEND OFF na unahitaji Huduma ya Mc na mziki karibu sana Mwandete #0753304066

ASANTE I NYOTE MNAO ZIDI KUTUAMINI

Em tuyaendeleze maongezi yao hapa 😀Man : we dada k**a nakujua…!Woman : we kaka uliniona wapi…Man:Woman: 🎤
25/07/2024

Em tuyaendeleze maongezi yao hapa 😀
Man : we dada k**a nakujua…!
Woman : we kaka uliniona wapi…
Man:
Woman:

🎤

Dress codes!
25/07/2024

Dress codes!

Bro mbona kaikamia sana hii picha anayoipiga kwa simu yake💥
25/07/2024

Bro mbona kaikamia sana hii picha anayoipiga kwa simu yake💥

Tonight
11/07/2024

Tonight

Every thing went fine 💥Maids .maids.groomsmen Shout by  Cake by  Dj  Venue  Deco .dar_dodoma
08/07/2024

Every thing went fine 💥

Maids .maids.groomsmen

Shout by

Cake by

Dj

Venue

Deco .dar_dodoma

Kwa mahaba mazito bwana harusi aka Amua kumuwekea baby wake champagne Yeye mwenyewe Hakika huu ni udhihirisho mkubwa san...
08/07/2024

Kwa mahaba mazito bwana harusi aka Amua kumuwekea baby wake champagne Yeye mwenyewe Hakika huu ni udhihirisho mkubwa sana wa Upendo wa dr petro kwa mkewe 🎤

Maids .maids.groomsmen

Shout by

Cake by

Dj

Venue

Deco .dar_dodoma

Now it is officially mrandmrs   Hakika Tunawapenda Maisha marefu Mungu Azidi kuwatunza
08/07/2024

Now it is officially mrandmrs Hakika Tunawapenda Maisha marefu Mungu Azidi kuwatunza

Dada  nakupenda sana dada angu Mungu azidi kukutunza sana kila siku
07/07/2024

Dada nakupenda sana dada angu Mungu azidi kukutunza sana kila siku

Neno moja kwa mgeni mwalikwa 💥🔥 dda chichi
07/07/2024

Neno moja kwa mgeni mwalikwa 💥🔥 dda chichi

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MC Mwandete posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Wedding planning in Dodoma

Show All