04/03/2024
Ni heshima kwetu kampuni ya Tiketi Rafiki, kuwa na uungwaji mkono kutoka kwa Ofisi ya Rais - Tamisemi kupitia Naibu Waziri, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi, katika jitihada zetu za kuanzisha Kituo cha Mafunzo ya Teknolojia kitakachojengwa mwaka huu huko Chamwino Ikulu Dodoma ili kusaidia wafanyabiashara, wakulima, wajasiriamali, watoto, watumishi wa umma, wanafunzi, vijana, wanafunzi wa shule za msingi, sekondari, na vyuo vikuu. Ikiwa ungependa kuwa sehemu ya jitihada hii ya kusaidia jamii au unahitaji maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi.
Nyote mnaalikwa kujiunga nasi Chamwino Ikulu siku ya Jumamosi, Aprili 27, 2024 katika mtaa wa Magambo.
It's an honor for us at Tiketi Rafiki company to have the support of the President's Office, through the Deputy Minister, Hon. Deogratius Ndejembi, who is joining us in the initiative to establish the Technology Training Center to be erected this year at Chamwino Ikulu in Dodoma. This center aims to aid businessmen, farmers, entrepreneurs, children, public servants, scholars, youth, primary, secondary, and university students.
If you'd like to be part of this transformative initiative or need more details, feel free to contact us. You're all invited to join us at Chamwino Ikulu on Saturday, April 27, 2024, at Magambo Street.