Hellen's Wedding Cottage

Hellen's Wedding Cottage Plan your wedding with us and get to buy or rent perfect wedding outfits for (Brides,maids and groo

Wedding &Events Planning | Bride and Groom Services | Tailoring services | Flowers and accessories |

Our bride Jessica!!Alikuja Dukani kwetu  na akatuamini kumuagizia gauni hili kwa style aliyoitaka yeye na kwa size yake!...
14/10/2021

Our bride Jessica!!
Alikuja Dukani kwetu na akatuamini kumuagizia gauni hili kwa style aliyoitaka yeye na kwa size yake!!



K**a wewe ni Bibi harusi na ungependa kupata gauni zuri, style na kwa size yako!! K**ata simu yako tupigie 0717246346 na sisi tutakuhudumia!!

Tuko Morogoro Mjini, SUA round about karibu na Machare Hotel!!





02/10/2021

Je, wewe ni bibi harusi mtarajiwa?! Unatamani uvae gauni yako mpya na style uipendayo?! Lakini umekwama kibajeti na itakulazimu kukodisha gauni badala ya kununua gauni mpya?

Habari njema kwako tunakupa fursa ya kukodisha gauni mpya(ambayo haijavaliwa kabisa) kwa style uipendayo, kwa mwezi huu wa 10 tu!!

Tumekua tukitoa huduma hii kwa zaidi ya miaka 3 kuwasaidia maharusi k**a wewe kupata nguo nzuri kwa ajili ya harusi zao!

Unachotakiwa kufanya ni kutuwatsp/kupiga kwa 0717246346 na sisi tutakuhudumia!! Ama unaweza bofya link kwenye bio yetu kuja moja kwa moja watsp

Kumbuka ofa hii ni kwa mwezi huu wa 10, tupigie Sasa ama tembelea Duka letu liloko Morogoro Mjini, SUA round about karibu na Machare Hotel






20/09/2021

Je, wewe ni biharusi mtarajiwa?!

Unatamani kuvaa gauni mpya ya style uipendayo kwenye harusi yako? Lakini umekwama kibajeti na itakulazimu kukodisha gauni badala ya kununua gauni mpya!!

Tunakupa fursa ya kukodisha gauni mpya, style uipendayo ya Cinderella hvyo kutatua changamoto hyo!! Tunao uzoefu wa kuwahudumia maharusi K**a wewe!

Unachotakiwa kufanya, tupe Oda yako kupitia watsp number 0717246346!

Tuko Morogoro Mjini, SUA round about karibu na Machare Hotel, wateja mikoa yote tunawahudumia!!

Unaweza pia kufuatilia kwa Instagram!!
https://www.instagram.com/p/CTjzVqHjc_6/?utm_medium=copy_link

02/09/2021

Biharusi kupendeza ni haki yako...!!
K**a ulikua hujui, siku hzi haya ndio mabanio yanayopendwa zaidi!! Onekana wa kisasa kwa kubana nywele zako vizuri siku ya harusi ama sendoff yako!!

Yanapatikana kuanzia 18,000 tu na kuendelea

Tuko Morogoro Mjini, sua round about karibu na Machare Hotel

Tupigie sasa 0717246346

01/09/2021
31/08/2021

Biharusi bila ya la mkononi hajakamilika!!
Jipatie maua haya kutoka dukani kwetu!!

Gharama za ya moja zinaanzia 45,000 kuendelea

Tuko Morogoro Mjini, SUA round about karibu na Machare Hotel!!

Wasiliana Nasi kupitia 0717246346

19/08/2021

Je, wewe ni biharusi mtarajiwa?!
Uko katika maandalizi ya harusi na unatafuta gauni la harusi!!

Usipate tabu, karibu Hellen's Wedding Cottage kwanza kabisa tunatoa ushauri bure kwako, namna ya kujiandaa na sherehe yako hususani kwenye mavazi!! Pia tunayo magauni ya harusi mbalimbali kwa style unayotaka!!

Tuko Morogoro Mjini, sua round about karibu na Machare Hotel, tupigie leo kwa 0717246346 kupata huduma zetu..
Pia unaweza kufuatilia ukurasa wetu wa Instagram kwa link hii hapa chini

https://www.instagram.com/p/CSpYDAPD1z9/?utm_medium=copy_link

Karibu Sana!!

10/07/2021

Address

Morogoro
BOX3231,MOROGORO

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hellen's Wedding Cottage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hellen's Wedding Cottage:

Videos

Share

Category

Our Story

“It all started years back with desire to make brides and groom feel special as they prepare for their big day, from our store you will get consultation on how to organize your look for a wedding and get all associated supplies”

Your warmly welcome

Hellen: Owner hellens_wedding_cottage


Other Morogoro event planning services

Show All