Kicheko garden and Restaurant

Kicheko garden and Restaurant Kicheko Garden ipo pembezoni kidogo mwa mji maeneo ya Magereza karibu na Moshi Technical School.

Ni sehemu tulivu kwa ajili yako kwa matukio mbali mbali ya kifamilia, kiofisi na kijamii kama vile Harusi, Send Off, Pete, Ubarikio, mikutano ya kiofisi n.k

22/10/2023

EVENTS AT KICHEKO GARDEN
KARIBU KWA AJILI YA SHEREHE YAKO.
Weka booking mapema ‼️

WAHITIMU WOTE ,KICHEKORESTAURANTANDGARDEN tunapokea booking zenu .Tuna package special kwa ajil yenu .Offer zipo endapo ...
15/10/2023

WAHITIMU WOTE ,KICHEKORESTAURANTANDGARDEN tunapokea booking zenu .Tuna package special kwa ajil yenu .Offer zipo endapo utafanya booking yako Mapema USIPITWE NA OFFER HII .

Karibuni sana Kicheko Garden and Restaurant kwa shughuli mbalimbali K**a vile harusi,Sendoff na Shughuli mbalimbali🙏🙏
11/02/2023

Karibuni sana Kicheko Garden and Restaurant kwa shughuli mbalimbali K**a vile harusi,Sendoff na Shughuli mbalimbali🙏🙏

Karibu kicheko garden  kwa sherehe mbalimbali harusi, send off mikutano ya kiofisi. Kipindi hiki cha sikukuu punguzo la ...
19/12/2019

Karibu kicheko garden kwa sherehe mbalimbali harusi, send off mikutano ya kiofisi. Kipindi hiki cha sikukuu punguzo la 20%. Wsiliana nasi kwa maelezo zaidi

Karbu jipatie  lunch au dinner kicheko restaurant tuko wazi kwanzia saa mbili asubuhi mpka saa mbili usiku.
13/12/2019

Karbu jipatie lunch au dinner kicheko restaurant tuko wazi kwanzia saa mbili asubuhi mpka saa mbili usiku.

Karbu jipatie chakula kilichoandaliwa katika mazingira safi
06/12/2019

Karbu jipatie chakula kilichoandaliwa katika mazingira safi

Karibu tukuhudumie chakula kitamu kitakachoifanya uifurahie weekend yako
17/11/2019

Karibu tukuhudumie chakula kitamu kitakachoifanya uifurahie weekend yako

Kicheko Restaurant Garden inakuandalia upendavyo. Karibu upate CHIPS MAINI. Tutafurahi kukuhudumia
07/11/2019

Kicheko Restaurant Garden inakuandalia upendavyo. Karibu upate CHIPS MAINI. Tutafurahi kukuhudumia

JARIBU PIZA YETU UONE TOFAUTI
06/11/2019

JARIBU PIZA YETU UONE TOFAUTI

02/11/2019

karibu

Karibu jipatie lunch box tunapatikana Kicheko restaurant karibu na magereza moshiTunafanya delivery kwa maeneo ya moshi ...
06/10/2019

Karibu jipatie lunch box tunapatikana Kicheko restaurant karibu na magereza moshi
Tunafanya delivery kwa maeneo ya moshi mjini
Mawasiliano:+255754291828, +255766068551

Muonekano wa garden yetu...Karibu Kicheko upate huduma za uwakikaPia kicheko restaurant tunatoa huduma za breakfast, lun...
11/09/2019

Muonekano wa garden yetu...
Karibu Kicheko upate huduma za uwakika
Pia kicheko restaurant tunatoa huduma za breakfast, lunch, na dinner.

29/08/2019

Kicheko garden tunatoa huduma za garden iliyo na mandhari nzuri kwa matukio mbali mbali ya kijamii kiofisi na kifamilia k**a vile harusi, send off, pete, ubarikio, ubatizo.
Tunapatikana maeneo ya magereza karibu na Moshi technical school
Karibu tukuhudumie.

28/08/2019

Address

Pine Fence Road
Moshi

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:30
Tuesday 09:00 - 18:30
Wednesday 09:00 - 18:30
Thursday 09:00 - 18:30
Friday 09:00 - 18:30
Saturday 09:00 - 18:30
Sunday 09:00 - 18:30

Telephone

+255715291828

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kicheko garden and Restaurant posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kicheko garden and Restaurant:

Videos

Share