12/03/2024
Mwanamke ni mkombozi wa Family.. mwenye dhamani kubwa hapa duniani kwa baraka nyingi na viwapawa tofauti alivyobarikiwa.
Sasa basi bila Elimu yakujiendeleza anakuwa yupo gizani na kushindwa kujitambuaaa.
Ungana nasi kwenye Elimu ya Biasharaa, Fedha, Afya, Malezi..
*Huu mkutano utakugusa sana!*
_USIKOSE NAFASI HII MUHIMU SANA KWAKO_
*Ni JUMAMOSI*
*Tar 23 Mwezi wa Tatu; saa 9 Kamili Sharp; Floor ya Kwanza LAPF, Millenium Tower.*
_Kwa kiingilio cha 20,000 Tu!_
*Chakula kitakuwepo๐*
*Dress Code: SHADES OF PINK*๐๐๐๐ธ๐ฎ๐๐
Pata Kadi Yako Mapema kabla hazijaisha
DM au Contact 0714 982 202 kwa mawasiliano zaidi na nikupatie kadi yako๐