30/09/2022
Je, una biashara, taasisi ya elimu, au ni mtoa huduma kwenye taasisi za elimu na ungependa kutangaza biashara yako kupitia kwenye maonesho haya makubwa ya Elimu nchini? Basi, hii ni fursa ya pekee kwako.
Wasiliana nasi kupitia namba zetu hapo juu au tembelea tovuti yetu na ujisajili ili kushiriki.
Are you a business, educational institution, service provider or innovator and you would like to showcase your services to one of the biggest educational exhibitions? Then this is for you!
Contact us via the numbers above or visit our website to register.