Tuko.tz

Tuko.tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tuko.tz, Event Planner, Dar es Salaam.
(1)

01/08/2024

Je, unahisi watabaki na wewe kwenye shida?

Hivi habari ni za kweli?
31/07/2024

Hivi habari ni za kweli?

Wasalimie hao
29/07/2024

Wasalimie hao

Tia neno hapa mzalendoTeam JPM forever
29/07/2024

Tia neno hapa mzalendo
Team JPM forever

Bado mmoja hapo, atimuliwe ili kupunguza ufisadi
25/07/2024

Bado mmoja hapo, atimuliwe ili kupunguza ufisadi

13/06/2024

V.A.R league kuu bara

Mfano JPM ametokea leo na ukapewa nafasi ya sekunde 30 ya kumuambia chochote, je utamwamba nini?
13/06/2024

Mfano JPM ametokea leo na ukapewa nafasi ya sekunde 30 ya kumuambia chochote, je utamwamba nini?

Deni la taifa 2024 ni 91 Trilioni kutoka 77 Trilioni 2023Ni ongezeko la 14 trilioni kwa mwaka mmoja. Je hizi 14Tr zimefa...
13/06/2024

Deni la taifa 2024 ni 91 Trilioni kutoka 77 Trilioni 2023
Ni ongezeko la 14 trilioni kwa mwaka mmoja. Je hizi 14Tr zimefanya maendeleo gani?

03/06/2024

Azam hawana wamecheza sarafu karibu na tundu la choo, shame on them

03/06/2024

PhD sio lazima uende darasani kusoma 😜. Hamuoni wenzenu wanapewa ya kusafiri kwa ndege mara nyingi?

JPM;  CDF Mabeyo nirudishe nyumbani mimi sitaponaCDF Mabeyo;  Sina mamlaka ya kukurusha nyumbaniJPM;  CDF unashindwa kun...
17/03/2024

JPM; CDF Mabeyo nirudishe nyumbani mimi sitapona
CDF Mabeyo; Sina mamlaka ya kukurusha nyumbani
JPM; CDF unashindwa kunipeleka nyumbani?
Kauli ya JPM siku moja kabla ya kifo
Sasa ni miaka 3 Tangu Magu ametuacha 😭

Hii hela mpya ina thamani sanaa,  hii ni sawa na 10,000 Tsh 😜.  Tumerudi zama za kulipana cents
03/03/2024

Hii hela mpya ina thamani sanaa, hii ni sawa na 10,000 Tsh 😜. Tumerudi zama za kulipana cents

29/02/2024

Raisi Samia ameingia madarakani na bahati mbaya sana, mpaka sasa amebaki na Kikwete Jakaya Mrisho pekeyake. Ameshatangaza vifo viwili vya maraisi na Waziri mmoja😭😭

Dah! Kabaki Kikwete na wake za maraisi wote,  sasa mjomba atakuwa anaongezewa tu mzigo wa wanawake.  Lakini ndio majukum...
29/02/2024

Dah! Kabaki Kikwete na wake za maraisi wote, sasa mjomba atakuwa anaongezewa tu mzigo wa wanawake. Lakini ndio majukumu ya familia. Msalimie, Magufuli, Mkapa, Nyerere, Lowassa, Sokoine, Kijazi, Mfugale na utupokee siku tutakayokufuataπŸ™

29/02/2024

MPE HABARI ZOTE ZA NCHI JPM
Buriani ALLY HASSAN MWINYI

29/02/2024

Rest in Peace Raisi wa awamu ya Pili, Dr. Mwinyi

Mwili wa Mtanzania Abraham baada ya kuopolewa ukiwa unaelea kando ya mto Miami nchini Marekani..  RIP genius na software...
28/02/2024

Mwili wa Mtanzania Abraham baada ya kuopolewa ukiwa unaelea kando ya mto Miami nchini Marekani.. RIP genius na software engineer

Mbuge anguka na 'kufa' baada ya kusikia serikali imetoa Sh 81 billion kwa ajili ya uendelezaji wa bandari ya kalema. Hii...
28/02/2024

Mbuge anguka na 'kufa' baada ya kusikia serikali imetoa Sh 81 billion kwa ajili ya uendelezaji wa bandari ya kalema. Hii nchi ni ngumu sana, kwani haya maigizo watamaliza lini

R. I. P Software Engineer Mtanzania huko Marekani Mlikuwa mnauliza Tanzania One (TO) wanaendaga wapi baasi jueni wanafan...
28/02/2024

R. I. P Software Engineer Mtanzania huko Marekani
Mlikuwa mnauliza Tanzania One (TO) wanaendaga wapi baasi jueni wanafanya kazi kubwa kwenye kampuni kubwa duniani.

Wadau wamelalamika sana kwamba treni ilikuwa 38KPH kitu ambacho sijaafiki sababu ilikuwa ni majaribi.  Na pia umeme ulik...
26/02/2024

Wadau wamelalamika sana kwamba treni ilikuwa 38KPH kitu ambacho sijaafiki sababu ilikuwa ni majaribi. Na pia umeme ulikatika mara mbili njiani

Maria NyerereAnna Mkapa Janet MagufuliRegina LowassaWaume zao wametangulia mbele za haki.  Hongereni wanawake wote kwa k...
17/02/2024

Maria Nyerere
Anna Mkapa
Janet Magufuli
Regina Lowassa

Waume zao wametangulia mbele za haki. Hongereni wanawake wote kwa kutunza afya zenuπŸ™πŸ»

Uhakika kabisa mgao utaisha kampeni za 2025 zikianza πŸ˜‚πŸ˜‚.  Tumeshindwa kulia bora tucheke tu
16/02/2024

Uhakika kabisa mgao utaisha kampeni za 2025 zikianza πŸ˜‚πŸ˜‚. Tumeshindwa kulia bora tucheke tu

12/02/2024

AFCON2027 itakuwa TZ. Unadhani ni bado Samata atakuwa captain au tutaandaa vijana wenye damu changa?

Ila huyu Papa jamani Photo courtesy
12/02/2024

Ila huyu Papa jamani

Photo courtesy

Kusini huko ndipo walimfukiza Moshi JPM hadi kumpelekea maradhi ...  Leo tena msafara wa Makonda umepata ajali...  Mtwar...
11/02/2024

Kusini huko ndipo walimfukiza Moshi JPM hadi kumpelekea maradhi ... Leo tena msafara wa Makonda umepata ajali... Mtwara kunani huko, mtaacha lini uchawi

Msalimie JPM mwambie wanae tunamkumbuka sana kwa ujasiri na uwazi aliotuachia. Pia nakutakia punziko na milele Lowassa.
10/02/2024

Msalimie JPM mwambie wanae tunamkumbuka sana kwa ujasiri na uwazi aliotuachia. Pia nakutakia punziko na milele Lowassa.

Habari mbaya hii😭😭 R. I. P mzee wetu
10/02/2024

Habari mbaya hii😭😭 R. I. P mzee wetu

Hakuna roboti lakini vijana hawana ajira.  Hello wananchi, mnaonaje tubadilishe wabunge tuweke maroboti ili tuokoe garam...
09/02/2024

Hakuna roboti lakini vijana hawana ajira. Hello wananchi, mnaonaje tubadilishe wabunge tuweke maroboti ili tuokoe garama

04/02/2024

R. I. P Ole Mushi😭😭
Umefanyiwa unyama mapema sana huku tukifichwa taarifa za kuugua kwako. Tutafuatilia tupate haki yako

Huyu naye ni mnafiki sana, kulia gani hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. AAnyway       Morocco πŸ‡²πŸ‡¦  0️⃣ - 2️⃣ South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦    stage 16
31/01/2024

Huyu naye ni mnafiki sana, kulia gani hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. A
Anyway
Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ 0️⃣ - 2️⃣ South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ stage 16

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuko.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other Event Planners in Dar es Salaam

Show All