Gwambina Lounge Limited

Gwambina Lounge Limited We do Catering, Facilities Management, We provide Recreational centers and manage Events

Jumuika na familia kwa Ku order sinia utakayo wewe kwa bei nafuu hapa  ๐Ÿ˜๐Ÿ˜Sinia 50,000/=
23/07/2024

Jumuika na familia kwa Ku order sinia utakayo wewe kwa bei nafuu hapa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Sinia 50,000/=

Hapa GWAMBINA LOUNGE ndo unaweza ukapata chakula cha aina hii na cha bei nafuu kwako wewe k**a mteja wetu.Tsh 150,000/= ...
22/07/2024

Hapa GWAMBINA LOUNGE ndo unaweza ukapata chakula cha aina hii na cha bei nafuu kwako wewe k**a mteja wetu.

Tsh 150,000/= kisinia kimoja

Karibuni Sana๐ŸŽท๐ŸŽบ๐Ÿฅ๐ŸŽป๐Ÿช˜โšฝLeo live pale na twanga pepeta band๐Ÿฅ๐ŸŽบ๐ŸŽท๐Ÿช˜
21/07/2024

Karibuni Sana๐ŸŽท๐ŸŽบ๐Ÿฅ๐ŸŽป๐Ÿช˜โšฝ
Leo live pale na twanga pepeta band๐Ÿฅ๐ŸŽบ๐ŸŽท๐Ÿช˜

Karibuni nyote hapa Gwambina Lounge Limited.๐Ÿค—๐Ÿค—
17/07/2024

Karibuni nyote hapa Gwambina Lounge Limited.๐Ÿค—๐Ÿค—

Unaweza kutufuatilia sasa mpaka pale tiktok .Tupe likes,comment, follow na pia bila kusahau kushare kwa marafiki, ndugu,...
17/07/2024

Unaweza kutufuatilia sasa mpaka pale tiktok .
Tupe likes,comment, follow na pia bila kusahau kushare kwa marafiki, ndugu, jamaa, na hata familia zetu .


Yes yes ooooh yes ๐Ÿ™Œ ni tena na tena kiwanja ni kimoja tuu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Gwambina lounge tcc club changombeโšฝโšฝni bonanza la michezo y...
27/06/2024

Yes yes ooooh yes ๐Ÿ™Œ ni tena na tena kiwanja ni kimoja tuu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Gwambina lounge tcc club changombeโšฝโšฝni bonanza la michezo yote kwanzia asubuhi saa 2 na saa 10 jioni Twanga pepeta wanakua stejini kukupa burudani adi uchoke๐ŸŽค๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽค๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒSundays of bonanza at Gwambina lounge

K**a kawaida ya Gwambina ni kuwaletea wadau wao burudani za kujenga afya,, hasubui ni mpira wa miguu โšฝโšฝโšฝโšฝโšฝโšฝโšฝ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐna michezo...
23/06/2024

K**a kawaida ya Gwambina ni kuwaletea wadau wao burudani za kujenga afya,, hasubui ni mpira wa miguu โšฝโšฝโšฝโšฝโšฝโšฝโšฝ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐna michezo mingi mingineyo na ikifika saa 10 jioni unapata burudani kutoka kwa Twanga na kupepeta,kisima cha burudani ๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅburudani..

MECHI ZOTE ZA UEFA EURO ZITARUKA LIVE NDANI YA   KWENYE BIG SCREENS KARIBUNI SANA๐Ÿ”ฅ
18/06/2024

MECHI ZOTE ZA UEFA EURO ZITARUKA LIVE NDANI YA KWENYE BIG SCREENS KARIBUNI SANA๐Ÿ”ฅ

K**a ulipitwa jpili ile basi usipitwe na Jumapili hii na nyingine zoteโšฝโšฝโšฝโšฝ๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒjumapili ya kumeet na marafiki mapemaaa...
06/06/2024

K**a ulipitwa jpili ile basi usipitwe na Jumapili hii na nyingine zoteโšฝโšฝโšฝโšฝ๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒjumapili ya kumeet na marafiki mapemaaaaa

K**a kawaida bonanza la kila jpili la mpira wa miguu saa 2 asubui adi 10 za jioni tunapo amsha na burudani ya kutoka kwa...
30/05/2024

K**a kawaida bonanza la kila jpili la mpira wa miguu saa 2 asubui adi 10 za jioni tunapo amsha na burudani ya kutoka kwa Twanga pepeta ๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽคโšฝโšฝโšฝโšฝโšฝBonanzaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

CRDB CONFEDERATION CUP FINAL LIVE KWENYE BIG SCREENS ZA  KARIBUNI SANAA๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿป
30/05/2024

CRDB CONFEDERATION CUP FINAL LIVE KWENYE BIG SCREENS ZA KARIBUNI SANAA๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿป

Weeeeew,, k**a ulikosa bonanza week ile basi jumapili hii na kila jumapili usikose mdau๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿš๐Ÿš๐Ÿš๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽคmpira wa miguu na michezo...
16/05/2024

Weeeeew,, k**a ulikosa bonanza week ile basi jumapili hii na kila jumapili usikose mdau๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿš๐Ÿš๐Ÿš๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽคmpira wa miguu na michezo mingi mingineyo.. *KARIBUNI GWAMBINA *LOUNGE NA WA DAU WOTE WA WAZEE WA KUTWANGA NA KUPEPETA๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Karibu kwenye Bonanza kila siku ya jumapili njoo upate burudani ya michezo mbalimbali......Pamoja na burudani kutoka kwa...
10/05/2024

Karibu kwenye Bonanza kila siku ya jumapili njoo upate burudani ya michezo mbalimbali......

Pamoja na burudani kutoka kwa
TWANGA PEPETA Sugu kisima cha burudani...๐ŸŽท๐ŸŽบ๐Ÿช‡๐Ÿช˜๐ŸŽค

Vyakula na vinywaji ๐Ÿฅž๐Ÿฅ‚๐Ÿป๐Ÿ๐Ÿง‡๐Ÿบ

Gwambina Lounge LTD
Changโ€™ombe

Hakuna kusubiri tena......maana muda sio rafiki....

Mzizima Derby hii hapa leo ndio leoKaribu kutazama Big mechi kwenye screen kubwa za Gwambina Lounge.....AZAM FC. VS SIMB...
09/05/2024

Mzizima Derby hii hapa leo ndio leo
Karibu kutazama Big mechi kwenye screen kubwa za Gwambina Lounge.....

AZAM FC. VS SIMBA SC.
SAA 12:15 JIONI

Karibu kutazama mtanange mkali huku ukipata chakula na vinywaji ๐Ÿบ๐Ÿง‡๐Ÿ๐Ÿป๐Ÿฅ‚

Big Match live on Hd Screens  Changโ€™ombe PSG VS. DOTMUNDSAA 4:00 USIKU 07 MAYR.MADRID VS. BAYERNSAA 4:00 USIKU08 MAYNBC ...
07/05/2024

Big Match live on Hd Screens
Changโ€™ombe

PSG VS. DOTMUND
SAA 4:00 USIKU
07 MAY

R.MADRID VS. BAYERN
SAA 4:00 USIKU
08 MAY

NBC PREMIER LEAGUE
MASHUJAA VS. KMC
SAA 9:00 JIONI
08 MAY

YANGA VS. KAGERA
SAA 12:00 JIONI
08 MAY

NJOO UTAZAME BURUDANI YA SOKA....

Hakuna kusubiri tena....maana muda sio rafiki...โฐ

GWAMBINA SPORTS BONANZATunatoa shukrani zote kwa ushiri wa Bonanza hili, tunawashukuru waamuzi waliochezesha, mashabiki ...
05/05/2024

GWAMBINA SPORTS BONANZA

Tunatoa shukrani zote kwa ushiri wa Bonanza hili, tunawashukuru waamuzi waliochezesha, mashabiki na wadau wote waliojiyokeza kuja Gwambina Lounge kushuhudia mechi, bila shaka hamjutii muda wenu kutokana na burudani mliyoipata.

We cater, you enjoy the test ๐Ÿ˜‰
03/05/2024

We cater, you enjoy the test ๐Ÿ˜‰

Gwambina Lounge Sports โšฝโšพ๐Ÿ‰๐Ÿฅ…๐Ÿ€๐ŸŽพ๐Ÿช€ BonanzaInakualika kwenye bonanza la aina yake lenye kujumuisha michezo mbalimbali k**a vi...
02/05/2024

Gwambina Lounge Sports โšฝโšพ๐Ÿ‰๐Ÿฅ…๐Ÿ€๐ŸŽพ๐Ÿช€ Bonanza

Inakualika kwenye bonanza la aina yake lenye kujumuisha michezo mbalimbali k**a vile Mpira wa miguu kwa wachezaji wazamani wakiambatana na wachezaji wa zamani wale mashuhuli, mpira wa kikapu na mchezo wa pooltable n.k.

Burudani hizi zote utazipata siku ya jumapili hii na jumapili zote....usisahau njoo wewe na marafiki pamoja na familia yako

Maana wikiendi hii na nyingine zote ni balaa!!! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ eneo ni moja tuu Gwambina Lounge LTD - Changโ€™ombe

โฐ Saa 2:00 Bonanza litaanzaa
Na baadae utapata burudani kali kutoka kwa bendi pendwa sugu kisima cha burudani ๐ŸŽท๐ŸŽบ๐Ÿช‡๐Ÿช˜๐ŸŽค

Vinywaji na vyakula vitakuwa vya kutosha, michemsho, visinia na mabiriani k**a yote ifanye wikiendi yako kuwa ya kibabe ๐Ÿง‡๐Ÿ๐Ÿป๐Ÿฅ‚๐Ÿฅž

Hakuna kusubiri tena....maana muda sio rafiki.......

MEIMOSI UPDATES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโ€ฆNa Bank of Tanzania (B.O.T) at Gwambina Lounge Limited ๐Ÿ‘
01/05/2024

MEIMOSI UPDATES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโ€ฆNa Bank of Tanzania (B.O.T) at Gwambina Lounge Limited ๐Ÿ‘

Sunday special โœจ๏ธ with twanga pepeta
26/04/2024

Sunday special โœจ๏ธ with twanga pepeta

Gwambina lounge inawatakia wateja wetu wote skukuu njema na tunawaribisha sana kwenye  huduma zetu za siku zote ๐Ÿ’“๐Ÿ—๐Ÿœ๐Ÿœ๐Ÿ๐Ÿ™
26/04/2024

Gwambina lounge inawatakia wateja wetu wote skukuu njema na tunawaribisha sana kwenye huduma zetu za siku zote ๐Ÿ’“๐Ÿ—๐Ÿœ๐Ÿœ๐Ÿ๐Ÿ™

Uongozi wa Gwambina Lounge Ltd Unatoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki kwa msiba mzito wa mtangazaji nguli wa Clouds Fm...
21/04/2024

Uongozi wa Gwambina Lounge Ltd Unatoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki kwa msiba mzito wa mtangazaji nguli wa Clouds Fm ndugu Gardner G. Abash. Uongozi wa Gwambina Lounge Ltd unatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Gardner katika uanzishwaji na ushauri wa Gwambina Lounge toka mwanzo mpaka sasa ilipofikia..
Pumzika kwa amani ndugu yetu Gardner

Haloooo!!! Dar es salaam  eeeh bwana eeehh!! Ile Derby tuliokuwa tunaisubiri kwa hamu sasa imewadia...Siku ya tarehe 20 ...
16/04/2024

Haloooo!!! Dar es salaam eeeh bwana eeehh!! Ile Derby tuliokuwa tunaisubiri kwa hamu sasa imewadia...

Siku ya tarehe 20 mtanange wa kukata na shoka ndani ya viwanja vya Gwambina Lounge LTD utaushuhudia mtanange huu kwenye big screens zenye quality ya HD

๐Ÿ”ฐYANGA VS. ๐ŸฆSIMBA
โฐSAA 11:00 JIONI

Mtani kiwanja ni kimoja tuu cha kutazama burudani bila bugdha yoyote na kuenjoy soka huku ukipata burudani ya muziki kutoka kwa Dj Kidy Master..๐Ÿ”‰๐ŸŽถ๐ŸŽผ

Changโ€™ombe

Hakuna kusubiri tena........Acha muda uongee.......โฐ

Wacha burudani ziendelee weekend  hii kwenye dance la kitanzania tutakuwa na.....๐ŸŽบ๐ŸŽท๐Ÿฅ๐Ÿช˜TWANGA PEPETA  SUGU KISIMA CHA BURU...
14/04/2024

Wacha burudani ziendelee weekend hii kwenye dance la kitanzania tutakuwa na.....๐ŸŽบ๐ŸŽท๐Ÿฅ๐Ÿช˜

TWANGA PEPETA
SUGU KISIMA CHA BURUDANI

wakiangusha burudani ya kibabe kwenye weekend hii special pamoja na weekend zote kwa maana ya kila jumapili burudani zitakuwa hapa...

Unakosaje?? Njoo wewe na mwenzako na marafiki zenu
Kwasababu burudani ipo sehemu moja tu!!!

Changโ€™ombe

Hakuna kusubiri tena.....Acha muda uongeeโฐ

Baadae  ya kumaliza mwezi ๐ŸŒ™๐ŸŒ™๐ŸŒ™ tunakutan kwenye VIBE LA EIDSi kwengine bali ni hapa hapa..... Changโ€™ombe Burudani kali ya...
10/04/2024

Baadae ya kumaliza mwezi ๐ŸŒ™๐ŸŒ™๐ŸŒ™ tunakutan kwenye VIBE LA EID
Si kwengine bali ni hapa hapa.....

Changโ€™ombe

Burudani kali ya mziki mnene๐ŸŽถ๐Ÿ”Š๐Ÿ”‰๐Ÿ”Š itaangushwa na Dj KIDY MASTER kutoka hapa hapa GWAMBINA LOUNGE LTD

kuanzia Eid mosi na Eid pili
Misosi na vinywaji k**a kawaida yetu ๐Ÿฅž๐Ÿ๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿบ๐Ÿฅ‚ masosolinso ya kibabe yatakuwepo njoo na mwenza wako kufurahia sikukuu hii yenye vibe....

Hakuna tena kusubiri....Acha muda uongeeโฐ

Halloo weee!!! Hallo tena...!!!GWAMBINA LOUNGE LTD inakuletea ile show ya kibabe ya kiswazi yaaniii.....๐Ÿช˜๐Ÿช‡๐ŸŽผUSWAZI SATURD...
10/04/2024

Halloo weee!!! Hallo tena...!!!
GWAMBINA LOUNGE LTD inakuletea ile show ya kibabe ya kiswazi yaaniii.....๐Ÿช˜๐Ÿช‡๐ŸŽผ

USWAZI SATURDAY NIGHTโ€™S
na mfalme wa kibao kata akiwa na timu yake yote kutoka uswazini...

Hii si yakukosa ni siku ya jumamosi tarehe 13 April

Burudani kubwa ya kiswazi utaipata hapa Changโ€™ombe

Njoo wewe na mwenzio huku ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ”ฅโšก๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฅ huku kishawaka

Vyakula, vinywaji ni k**a vyote๐Ÿง‡๐Ÿฅž๐Ÿ๐Ÿป๐Ÿบ๐Ÿฅ‚ hakuna kusubiri tena.... Acha muda uongeeโฐ

Weekend hii k**a kawaida Vibe linaendelea la muziki wa dance ndani ya TWANGA PEPE SUGU KISIMA CHA BURUDANI  watakupa bur...
06/04/2024

Weekend hii k**a kawaida Vibe linaendelea la muziki wa dance ndani ya

TWANGA PEPE SUGU KISIMA CHA BURUDANI watakupa burudani ya kukata na shoka ๐ŸŽธ๐ŸŽผ๐ŸŽค๐Ÿฅ๐Ÿช˜๐ŸŽบ๐ŸŽท

Kila jumapili na jumapili zote utapata burudani na Twanga Pepeta..

Matumaini yetu bado yapo wanasimba siku ya Ijumaa njoo tuangalie chama la wana Simba Sc. ๐ŸฆKwenye screen kubwa zenye uweo...
04/04/2024

Matumaini yetu bado yapo wanasimba siku ya Ijumaa njoo tuangalie chama la wana Simba Sc. ๐Ÿฆ

Kwenye screen kubwa zenye uweo wa kuonyesha quality ya HD

ALHLY VS. SIMBA๐Ÿฆ
โฐSAA 5:00 USIKU

Tunasema haiishi mpaka Iishe waarabu wataelewa tuu...

Burudani hii unaipata hapa Changโ€™ombe

Hello!!! Tanzania tunasema haiishi mpaka iishe ile mechi ya marudiano yanga ni Ijumaa hii...MAMELODI VS. YANGA SC๐Ÿ”ฐโฐsaa 3...
04/04/2024

Hello!!! Tanzania tunasema haiishi mpaka iishe ile mechi ya marudiano yanga ni Ijumaa hii...

MAMELODI VS. YANGA SC๐Ÿ”ฐ
โฐsaa 3:00 usiku

Njoo upate burudani ya soka kwenye screen kubwa zenye quality ya HD

ndani ya Changโ€™ombe

SPORTS GROUNDS  ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
04/04/2024

SPORTS GROUNDS ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Address

Bora Street Songambele Road Chang'ombe And Majimoto Katavi
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gwambina Lounge Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gwambina Lounge Limited:

Videos

Share

Category


Other Caterers in Dar es Salaam

Show All

You may also like