The Best Entertainment

The Best Entertainment Music

Sometime kusema unaishi Dar unaona aibu,hii ni wilaya ya UBUNGO-MBEZI MSUMI...na Mbunge ni  hapa ni kilometa Saba tu Tok...
20/05/2023

Sometime kusema unaishi Dar unaona aibu,hii ni wilaya ya UBUNGO-MBEZI MSUMI...na Mbunge ni hapa ni kilometa Saba tu Toka Goba mjini,na kilometa Tisa tu Toka stand ya Mbezi,sasa sijui shida nini,k**a maji tu kuleta ni issue barabara je?anyway tumuachie Mungu tu.

23/12/2017
Hizi nguo mnazotuma kwa ndugu zenu msimu huu wa sikukuu muwe mnawaambia pia zinavaliwaje
22/12/2017

Hizi nguo mnazotuma kwa ndugu zenu msimu huu wa sikukuu muwe mnawaambia pia zinavaliwaje

14/12/2017

Pale bangi inapokutana na gongo

30/09/2017

Hi friends...how is weekend

20/08/2017
18/01/2017

Hatimaye suala la ajira lapewa ufumbuzi
Serikali imetangaza nafasi 49,0000 kwa walimu waliohitimu elimu ya juu ili kupunguza adha ya ajira ikiwemo nafasi 26,000 kwa walimu wa masomo ya sanaa yani arts lakini pia imepandisha bajet ya pesa za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka sh 8,500 mpaka sh 10,000 kwa siku pia mikopo itakatwa baada ya miaka mitano baada ya ajira. Hivyo wananchi wawe na imani kua maisha mazuri yanatengenezwa taratibu
Ni sera za Gadaffi kabla ya kufa huko Libya
Nyie endeleeni kuiosoma namba ajira kwa walimu wa arts mtazikia k**a hadithi za Juma n.a. Uredi

Traffic police wa January...
17/01/2017

Traffic police wa January...

12/12/2016

*Jamani msaada ivi*

*nafasi za kwenda jela* *zinatoka lini*

*Maana huku mtaani haya sio maisha*

Address

P. O BOX 14454 DSM
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:45
Tuesday 08:30 - 17:45
Wednesday 08:30 - 17:45
Thursday 08:30 - 17:45
Friday 08:30 - 17:45
Saturday 08:30 - 17:45
Sunday 08:30 - 17:45

Telephone

0714117500

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Best Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Nearby event planning services


Other Dar es Salaam event planning services

Show All